Helikopta ambayo Rais wa Iran, Raisi na mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje walikuwemo, ilikuwa ni "belly 212" ya Kimarekani. Kwa mujibu wa shirika la Tasnim la Iran, ndege hiyo ilinunuliwa toka Marekani. Helikopta hiyo inaweza kubeba hadi watu 14 na ilikuwa na kasi ya 190 km/h.
UCHUNGUZI WAENDELEA HUKO IRAN
byWaziri.com
-
0
إرسال تعليق