MrJazsohanisharma

MAONESHO YA KILIMO,UVUGAJI NA UVUVI KUINUA FURSA MPYA KIUCHUMI

 Ushiriki wa Wadau katika maonesho ya Nane Nane utasaidia kuimarisha muingiliano wa kibiashara kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali, ambapo  wadau wamehimizwa kutumia fursa hiyo katika kujifunza namna ya kuchangamkia fursa za masoko ya nje.


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post