MAKAMU WA RAIS MALAWI AFARIKI

Makamu wa Rais wa Malawi, Dkt. Saulos Chilima na wengine 9 akiwemo mkewe wamefariki kwa ajali ya ndege ambayo imepatikana ikiwa imeanguka katika milima ya Chikangawa nchini humo.
 
Ndege hiyo ilitoweka Jumatatu asubuhi kutoka Mji mkuu wa nchi hiyo, Lilongwe wakielekea kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa mwanasheria mkuu wa nchi hiyo.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post